Wanishangaza (ft. Tunsume Boniface)
Manage episode 363922499 series 3457349
Katika sehemu hii, Tunsume Boniface anaelezea jinsi Mungu alivyomshangaza kwa kufanya vizuri mno katika masomo ya Sayansi. Ingawa hakusoma kwa takribani miezi 6 ya mwanzo, lakini bado alifanya vizuri mno.
12 эпизодов