DRC : Yatangaza mpango wake wa kupunguza idadi ya wafungwa magerezani
Manage episode 432367968 series 1091037
Serikali ya DRC imetangaza mpango wa kuwapunguza wafungwa katika magareza yake, ili kuondoa mrudiko katika taifa hilo.
Katika makala haya wanaharakati wanajadili haki za wafungwa kutoka nchini DRC na Uganda.
24 эпизодов